Saturday 18 October 2014

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI AWAMU YA PILI



SIMU: 022-2120413/21204017  faksi  022-2113272
Tovuti www.Moe.go.tz.
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI AWAMU YA PILI
        Moja ya mikakati ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi katika kuandaa walimu mahiri ni pamoja na kuhakikisha kuwa wanaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti ni wale wenye ufaulu mzuri katika mtihani wa kidato cha nne.
Ilikufanikisha azma hii, wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi itadahili wanafunzi wenye ufaulu wa Daraja la I,II,na III kwa ajili ya cheti na wenye ufaulu wa alama 26 na27(mwaka2004-2012) na alama 32na 34 (2013).Watadahiliwa katika prgramu ya mafunzo ya kabilishaya mwaka mmoja katika mwaka wa masomo 2015/2016.Aidha kipaumbele katika udahili kitatolewa kwa waombaji waliofaulu masomo ya sayansi,Hisabat,English na kiswahili.Watakao jiunga na mafunzo ya ualimu na kufaulu mafunzo yao watapatiwa ajira moja kwa moja kulingana na taratibu za serikali.
Mafunzo kabilishi Ngazi ya cheti (Bridging course) kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti
Muda mwaka 1.
Mafunzo katika vyuo vya ualimu;bustani, kinampanda,Mhonda,Mpuguso,Mtwara,Nachingwea,Singachini,Tandala,Katoke na Sumbawanga.Mwombaji atapelekwa moja ya chuo kilicho kwenye orodha hapo juu katika mwaka wa masomo 2015/2016.
Wanachuo wote wa awamu ya pili watajiunga na vyuo katika mwaka wa masomo 2015/2016 na ni sehemu ya  wanachuo watakaodahiliwa mwaka 2015.
Bofya kuona majina.
S0214.0003.2012 Ashura Matagi
S2227.0217.2010 Jackson Kairukeo
S3245.0001.2013 Said Maneno
S2123.0007.2012 Kaleke Shaya
S2376.0013.2013  Yahaya HaIisi manase
S7654.0063.2013          Abuu Said
S8765.0009.2009 SAID HAMIS
S2132.0007.2010 URIO HUSSEIN
S9876.0013.2013 JAMAL YAHAYA KANIKI
S9876.0089.2010 JANETH ABUSHIRI JOHN
S4321.0124.2013 CHACHA MWITA GABRIEL
S5432.0065.2013 KAKA HALYA METTA
S9876.0098.2013 Y0HANA MWITA
S9876.0004.2013 TEMWA SAID
S8976.0213.2009 AISHA MADEGE HILALI
S9876.0008.2013  PAUL MAGOYA SHAYO
S8976.0097.2010 CHARLES JUMA
S4808.0011.2012 FARAJI MUSTAFA CHUNJA
S8765.0097.2013 GABRIEL SHAYO PETER
S6754.0098.2013 MOHAMED HASSAN HAMAD
S7654.0215.2013 MATHAYO HENLY  GIDION
S5432.0065.2012 ATHUMAN HUSSEIN SELEMANI
S3742.0042.2013 DANIEL THOMAS SUKI
S8765.0456.2013 OMARI OMARI MOHAMEDI
S7654.0234.2010 FARAJI HAMIS MDAGWA
S7654.0076.2012OMARI HAMIS HAMIS
S0987.0004.2012 AISHA MAHANGALY SAID

No comments:

Post a Comment